WANAWAKE WENYE HIPSI NA SHIDA WANAZOKABILIANA NAZO HIZI HAPA

Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa nyingi za urembo, lakini pia kwa upande mwingine wa shillingi ni matatizo tupu.

SIFA:

1. Huwatesa sana wakina baba wanapokuwa katika vyombo vya usafiri kama daladala, treni, meli na ngalawa, mababa wengi hujawa na hisia kali za mahaba kiasi kwamba hupata mfadhaiko.

2. Hawana haraka sana kwani mwendo wao, hutembea kwa maringo, hata daladala likisimamia mbali hawawezi kukimbia kuwahi.

3. Hutongozwa wanaume watano kwa siku, hata wanaume wasiposema kitu angalau ukonyeza.

4. Ni wasikivu sana wakati wa kudate maana wengi ni warefu hupenda sana kukuinamia kusikia zaidi uliongealo.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUMSHIKA MWANAMKE

Hatua 7 Za Kufuata Iwapo Mpenzi Wako Anakataa Kujibu SMS Zako

UKIINGIA KWENYE NDOA NA MWENYE SIFA HIZI, HUWEZI KUJUTA!