FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI
👉 Husaidia kuweka mfumo wa kinga yako vizuri.
👉 Inaongeza hamu ya kufanya mapenzi zaidi.
👉 huimarisha kibofu cha mkojo kwa Wanawake.
👉 Hupunguza shinikizo la damu.
👉 Huhesabika kama moja ya Zoezi.
👉 Hupunguza hatari ya kupata shambulio la moyo.
👉 Hupunguza maumivu ya mwili.
👉 Inaweza kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tezi dume / Prostate Cancer.
👉 Inaboresha hali ya usingizi.
👉 Hupunguza Msongo wa Mawazo.
👉 Hufanya Misuli ya Uume kuwa Imara.
👉 Humfanya Mwanamke ashindwe kutoka nje ya Ndoa (cheating)

Comments
Post a Comment