JINSI YA KUMSHIKA MWANAMKE
UMUHIMU WA KUGUSANA Furaha ya tendo la ndoa ni moja kati ya zawadi kubwa tupatayo kama wanadamu na sio hilo tu bali ni starehe kubwa kuliko zote kwa masikini na matajiri, viwete na kwa wazima, lakini hata hivyo inahitaji ufundi wa kutosha kuweza kukamua starehe hii kikamilifu. Kama vile kuwa na mikono na vidole pekee yake haitoshi kukuwezesha kupiga kinanda au gitaa hadi utoke muziki mtamu kadhalika katika tendo la ndoa ufundi ni muhimu kabisa katika kumwandaa mwanamke ni vizuri. Kumbuka kuwa injini ya mwanamke inachukua muda mrefu kuwaka na kuanza safari ya kwenda kileleni. Kwa kadiri ambavyo utaweza kumfikisha kileleni ndivyo atakavyoendelea kupenda kufanya na wewe. Kazi yako ni kumfanya mke agundue vitu vingi ambavyo vinaweza kumletea raha na bila aibu fuata maelekezo yaliyomo katika jarida hili ili ujione kuwa ni bingwa na uonekane kuwa ni bingwa anayestahili kushangiliwa siku zote kwenye moyo na akili ya mwanamke umpendae. Wanasayansi wamethibitisha kuwa kushikana miko...